Isaiah 18:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yote yataachiwa ndege milimani, na wanyama wengine wa porini. Ndege walao nyama watakaa humo wakati wa majira ya kiangazi, na wanyama wa porini watafanya makao humo wakati wa majira ya baridi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yote yataachwa kwa ajili ya ndege wawindao wa mlimani na wanyama pori, ndege watajilisha juu yake wakati wote wa kiangazi, nao wanyama pori wakati wote wa masika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wote pamoja wataachiwa ndege wakali wa milimani, na hayawani wa nchi; ndege wakali watakaa juu yao wakati wa jua, na hayawani wote wa nchi watakaa juu yao wakati wa baridi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yote yataachiwa ndege milimani, na wanyama wengine wa porini. Ndege walao nyama watakaa humo wakati wa majira ya kiangazi, na wanyama wa porini watafanya makao humo wakati wa majira ya baridi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yote yataachwa kwa ajili ya ndege wawindao wa mlimani na wanyama pori, ndege watajilisha juu yake wakati wote wa kiangazi, nao wanyama pori wakati wote wa masika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yote yataachwa kwa ajili ya ndege wawindao wa mlimani na wanyama pori, ndege watajilisha juu yake wakati wote wa kiangazi, nao wanyama pori wakati wote wa masika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wote pamoja wataachiwa ndege wakali wa milimani, na wanyama wa nchi; ndege wakali watakaa juu yao wakati wa jua, na wanyama wote wa nchi watakaa juu yao wakati wa baridi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yote yataachiwa ndege milimani, na wanyama wengine wa porini. Ndege walao nyama watakaa humo wakati wa majira ya kiangazi, na wanyama wa porini watafanya makao humo wakati wa majira ya baridi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wote pamoja wataachiliwa madege wakaao milimani nao nyama wa porini, madege makubwa wakae hapo siku za kiangazi, nao nyama wote wa porini wawe hapo siku za kipupwe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wote pamoja wataachiwa ndege wakali wa milimani, na hayawani wa nchi; ndege wakali watakaa juu yao wakati wa jua, na hayawani wote wa nchi watakaa juu yao wakati wa baridi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yote yataachiwa ndege wa milima na nyama wengine wa pori. Ndege wakali watakaa humo wakati wa jua, na nyama wa pori watafanya makao humo wakati wa baridi.