Isaiah 19:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wako wapi, ewe Farao, wataalamu wako? Waache basi wakuambie na kukujulisha aliyopanga Mwenyezi-Mungu wa majeshi dhidi ya Misri!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wako wapi sasa watu wako wenye hekima? Wao wakuoneshe na kukufahamisha ni nini Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni amepanga dhidi ya Misri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wako wapi, basi, watu wako wenye hekima? Na wakuambie sasa; na wajue mambo aliyokusudia Bwana wa majeshi juu ya Misri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wako wapi, ewe Farao, wataalamu wako? Waache basi wakuambie na kukujulisha aliyopanga Mwenyezi-Mungu wa majeshi dhidi ya Misri!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wako wapi sasa watu wako wenye hekima? Wao wakuonyeshe na kukufahamisha ni nini BWANA Mwenye Nguvu Zote amepanga dhidi ya Misri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wako wapi sasa watu wako wenye hekima? Wao wakuonyeshe na kukufahamisha ni nini bwana Mwenye Nguvu Zote amepanga dhidi ya Misri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wako wapi, basi, watu wako wenye hekima? Na wakuambie sasa; na wajue mambo aliyokusudia BWANA wa majeshi juu ya Misri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wako wapi, ewe Farao, wataalamu wako? Waache basi wakuambie na kukujulisha aliyopanga Mwenyezi-Mungu wa majeshi dhidi ya Misri!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa watambuzi wako wako wapi? Kama wanalitambua, na wakufumbulie shauri, Bwana Mwenye vikosi aliloikatia nchi ya Misri!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wako wapi, basi, watu wako wenye hekima? Na wakuambie sasa; na wajue mambo aliyokusudia BWANA wa majeshi juu ya Misri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wako wapi, ewe Mufalme wa Misri, wenye hekima wako? Uwaache basi wakwambie na kukujulisha mambo Yawe wa majeshi aliyopanga juu ya Misri!