Isaiah 19:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu atawaadhibu Wamisri na kuwaponya. Nao watamrudia, naye atayasikiliza maombi yao na kuwaponya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu ataipiga Misri kwa tauni; atawapiga na kuwaponya. Watamgeukia Mwenyezi Mungu, naye atayasikia maombi yao na kuwaponya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Bwana atapiga Misri, akipiga na kuponya; nao wakirudi kwa Bwana, atakubali maombi yao na kuwaponya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu atawaadhibu Wamisri na kuwaponya. Nao watamrudia, naye atayasikiliza maombi yao na kuwaponya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA ataipiga Misri kwa tauni, atawapiga na kuwaponya. Watamgeukia BWANA, naye atayasikia maombi yao na kuwaponya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana ataipiga Misri kwa tauni; atawapiga na kuwaponya. Watamgeukia bwana, naye atayasikia maombi yao na kuwaponya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye BWANA atapiga Misri, akipiga na kuponya; nao wakirudi kwa BWANA, atakubali maombi yao na kuwaponya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu atawaadhibu Wamisri na kuwaponya. Nao watamrudia, naye atayasikiliza maombi yao na kuwaponya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Itakuwa hivyo: Bwana akiwapiga Wamisri na kuwaponya, nao wakimrudia Bwana, atawaitikia, wakimwomba, awaponye kabisa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye BWANA atapiga Misri, akipiga na kuponya; nao wakirudi kwa BWANA, atakubali maombi yao na kuwaponya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe atawaazibu Wamisri na kuwaponya. Nao watamurudilia, naye atayasikiliza maombi yao na kuwaponya.