Isaiah 19:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mifereji yake itatoa uvundo, vijito vyake vitapunguka na kukauka. Nyasi na mafunjo yake yataoza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mifereji itanuka; vijito vya Misri vitapungua na kukauka. Matete na nyasi vitanyauka,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na vijito vya mto vitatoa uvundo, na mifereji ya Misri itakuwa haina maji mengi, itakauka; manyasi na mianzi itanyauka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mifereji yake itatoa uvundo, vijito vyake vitapunguka na kukauka. Nyasi na mafunjo yake yataoza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mifereji itanuka; vijito vya Misri vitapungua na kukauka. Mafunjo na nyasi vitanyauka,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mifereji itanuka; vijito vya Misri vitapungua na kukauka. Mafunjo na nyasi vitanyauka,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na vijito vya mto vitatoa uvundo, na mifereji ya Misri itakuwa haina maji mengi, itakauka; manyasi na mianzi itanyauka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mifereji yake itatoa uvundo, vijito vyake vitapunguka na kukauka. Nyasi na mafunjo yake yataoza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mifereji mikubwa ya maji itanuka vibaya, nayo mito ya Misri ya chini itakuwa minyonge, kisha itakauka nayo, hata matete na manyasi yatanyauka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na vijito vya mto vitatoa uvundo, na mifereji ya Misri itakuwa haina maji mengi, itakauka; manyasi na mianzi itanyauka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mifereji yake itatoa harufu mbaya, vijito vyake vitapunguka na kukauka. Nyasi na matete yake yataoza.