Isaiah 19:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wavuvi watalia na kuomboleza, wote watumiao ndoana watalalama; wote wanaotanda nyavu majini watakufa moyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wavuvi watalia na kuomboleza, wote watupao ndoana katika Mto Naili, na watupao nyavu katika maji watadhoofika kwa majonzi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wavuvi wataugua, na wote wavuao kwa ndoana watahuzunika, nao watandao jarife juu ya maji watazimia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wavuvi watalia na kuomboleza, wote watumiao ndoana watalalama; wote wanaotanda nyavu majini watakufa moyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wavuvi watalia na kuomboleza, wale wote watupao ndoano katika Mto Nile, watadhoofika kwa majonzi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wavuvi watalia na kuomboleza, wale wote watupao ndoano katika Mto Naili, watadhoofika kwa majonzi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wavuvi wataugua, na wote wavuao kwa ndoana watahuzunika, nao watandao jarife juu ya maji watazimia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wavuvi watalia na kuomboleza, wote watumiao ndoana watalalama; wote wanaotanda nyavu majini watakufa moyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wavuvi watalia, pamoja nao wote waliokamata samaki mtoni kwa ndoana watasikitika, nao waliotanda nyavu majini watafifia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wavuvi wataugua, na wote wavuao kwa ndoana watahuzunika, nao watandao jarife juu ya maji watazimia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wavuvi wataomboleza, wote wanaotumia ndoana watalalamika, wote wanaotega nyavu humo watavunjika moyo.