Isaiah 2:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Neno alilopewa Isaya, mwana wa Amozi, kuhusu Yuda na Yerusalemu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hili ndilo aliloliona Isaya mwana wa Amozi kuhusu Yuda na Yerusalemu:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hili ni neno aliloliona Isaya mwana wa Amozi katika habari za Yuda na Yerusalemu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Neno alilopewa Isaya, mwana wa Amozi, kuhusu Yuda na Yerusalemu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hili ndilo aliloliona Isaya mwana wa Amozi kuhusu Yuda na Yerusalemu:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hili ndilo aliloliona Isaya mwana wa Amozi kuhusu Yuda na Yerusalemu:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hili ni neno aliloliona Isaya mwana wa Amozi kuhusu Yuda na Yerusalemu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Neno alilopewa Isaya, mwana wa Amozi, kuhusu Yuda na Yerusalemu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hili ni neno, Yesaya, mwana wa Amosi, aliloliona la Yuda na la Yerusalemu:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hili ni neno aliloliona Isaya mwana wa Amozi katika habari za Yuda na Yerusalemu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haya ndiyo mambo Isaya mwana wa Amozi aliyofunuliwa juu ya inchi ya Yuda na Yerusalema.