Isaiah 2:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ingieni katika mwamba, mkajifiche mavumbini, kuiepa hasira ya Mwenyezi-Mungu, mbali na utukufu wa enzi yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ingieni kwenye miamba, jificheni ardhini kutokana na utisho wa Mwenyezi Mungu na utukufu wa enzi yake!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ingia ndani ya jabali; ukajifiche mavumbini mbele za utisho wa Bwana, mbele za utukufu wa enzi yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ingieni katika mwamba, mkajifiche mavumbini, kuiepa hasira ya Mwenyezi-Mungu, mbali na utukufu wa enzi yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ingieni kwenye miamba, jificheni ardhini kutokana na utisho wa BWANA na utukufu wa enzi yake!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ingieni kwenye miamba, jificheni ardhini kutokana na utisho wa bwana na utukufu wa enzi yake!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ingia ndani ya jabali; ukajifiche mavumbini mbele za utisho wa BWANA, mbele za utukufu wa enzi yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ingieni katika mwamba, mkajifiche mavumbini, kuiepa hasira ya Mwenyezi-Mungu, mbali na utukufu wa enzi yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nenda magengeni! Jifiche uvumbini! Usiuone uso wake ukutishao wala utukufu wa ukuu wake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ingia ndani ya jabali; ukajifiche mavumbini mbele za utisho wa BWANA, mbele za utukufu wa enzi yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muingie chini ya jiwe, mujifiche katika mavumbi, kwa kuepuka kitisho cha Yawe, mbali na mwangaza wa utukufu wake.