Isaiah 2:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
dhidi ya mierezi yote ya Lebanoni, ambayo ni mirefu na mizuri, dhidi ya mialoni yote nchini Bashani;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa mierezi yote ya Lebanoni iliyo mirefu sana, na mialoni yote ya Bashani,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na juu ya mierezi yote ya Lebanoni iliyo mirefu na kuinuka, na juu ya mialoni yote ya Bashani;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
dhidi ya mierezi yote ya Lebanoni, ambayo ni mirefu na mizuri, dhidi ya mialoni yote nchini Bashani;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa mierezi yote ya Lebanoni, iliyo mirefu sana, nayo mialoni yote ya Bashani,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa mierezi yote ya Lebanoni iliyo mirefu sana, na mialoni yote ya Bashani,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na juu ya mierezi yote ya Lebanoni iliyo mirefu na kuinuka, na juu ya mialoni yote ya Bashani;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
dhidi ya mierezi yote ya Lebanoni, ambayo ni mirefu na mizuri, dhidi ya mialoni yote nchini Bashani;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nayo miangati ya Libanoni iliyo mikubwa na mirefu, nayo mikwaju yote ya Basani inyenyekezwe,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na juu ya mierezi yote ya Lebanoni iliyo mirefu na kuinuka, na juu ya mialoni yote ya Bashani;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
juu ya miti ya mierezi yote ya Lebanoni ambayo ni mirefu na mizuri, juu ya miti ya mialo yote katika inchi ya Basani,