Isaiah 2:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
dhidi ya meli zote za Tarshishi, na dhidi ya meli zote nzuri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa kila meli ya biashara, na kila mashua ya kifahari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na juu ya merikebu zote za Tarshishi, na juu ya kila taswira ipendezayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
dhidi ya meli zote za Tarshishi, na dhidi ya meli zote nzuri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa kila meli ya biashara ya Tarshishi na kila chombo cha baharini cha fahari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa kila meli ya biashara, na kila chombo cha baharini cha fahari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na juu ya merikebu zote za Tarshishi, na juu ya kila taswira ipendezayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
dhidi ya meli zote za Tarshishi, na dhidi ya meli zote nzuri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nazo merikebu zote za Tarsisi ziletazo mali na vitu vizuri vyote pia, watu wanavyovitamani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na juu ya merikebu zote za Tarshishi, na juu ya kila taswira ipendezayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
juu ya mashua yote makubwa ya Tarsisi, na juu ya mashua yote mazuri.