Isaiah 2:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kiburi chote cha watu kitakomeshwa, majivuno ya kila mtu yatavunjwa. Na Mwenyezi-Mungu peke yake atatukuzwa siku hiyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Majivuno ya mwanadamu yatashushwa, na kiburi cha wanadamu kitanyenyekezwa, Mwenyezi Mungu peke yake ndiye atatukuzwa siku hiyo,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na majivuno ya mwanadamu yatainamishwa, na kiburi cha watu kitashushwa; naye Bwana, yeye peke yake, atatukuzwa siku hiyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kiburi chote cha watu kitakomeshwa, majivuno ya kila mtu yatavunjwa. Na Mwenyezi-Mungu peke yake atatukuzwa siku hiyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Majivuno ya mwanadamu yatashushwa na kiburi cha wanadamu kitanyenyekezwa, BWANA peke yake ndiye atatukuzwa siku hiyo,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Majivuno ya mwanadamu yatashushwa, na kiburi cha wanadamu kitanyenyekezwa, bwana peke yake ndiye atatukuzwa siku hiyo,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na majivuno ya mwanadamu yatainamishwa, na kiburi cha watu kitashushwa; naye BWANA, yeye peke yake, atatukuzwa siku hiyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kiburi chote cha watu kitakomeshwa, majivuno ya kila mtu yatavunjwa. Na Mwenyezi-Mungu peke yake atatukuzwa siku hiyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao watu wajivunao watainamishwa, hata waume wajikwezao watanyenyekezwa, kwa maana atakayetukuka siku ile ni Bwana peke yake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na majivuno ya mwanadamu yatainamishwa, na kiburi cha watu kitashushwa; naye BWANA, yeye peke yake, atatukuzwa siku hiyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kiburi cha wanadamu kitashushwa, majivuno ya watu yatanyenyekezwa, na Yawe peke yake atatukuzwa siku hiyo.