Isaiah 2:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao wataingia katika mapango miambani na kwenye nyufa za miamba, kuiepa hasira ya Mwenyezi-Mungu, mbali na utukufu wa enzi yake, atakapokuja kuitia hofu dunia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watakimbilia kwenye mapango miambani na kwenye nyufa za miamba kutokana na utisho wa Mwenyezi Mungu na utukufu wa enzi yake, ainukapo kuitikisa dunia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ili aingie ndani ya pango za majabali, na ndani ya tundu za miamba iliyopasuka, mbele za utisho wa Bwana na utukufu wa enzi yake, atakapoondoka ili aitetemeshe mno dunia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao wataingia katika mapango miambani na kwenye nyufa za miamba, kuiepa hasira ya Mwenyezi-Mungu, mbali na utukufu wa enzi yake, atakapokuja kuitia hofu dunia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watakimbilia kwenye mapango miambani na kwenye nyufa za miamba kutokana na utisho wa BWANA na utukufu wa enzi yake, ainukapo kuitikisa dunia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watakimbilia kwenye mapango miambani na kwenye nyufa za miamba kutokana na utisho wa bwana na utukufu wa enzi yake, ainukapo kuitikisa dunia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ili aingie ndani ya pango za majabali, na ndani ya tundu za miamba iliyopasuka, mbele za utisho wa BWANA na utukufu wa enzi yake, atakapoondoka ili aitetemeshe mno dunia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao wataingia katika mapango miambani na kwenye nyufa za miamba, kuiepa hasira ya Mwenyezi-Mungu, mbali na utukufu wa enzi yake, atakapokuja kuitia hofu dunia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wapate kujiendea kwenye nyufa za magenge na kwenye mapango ya miamba, wasiuone uso wa Bwana uwatishao wala utukufu wa ukuu wake, atakapoinuka kuistusha nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ili aingie ndani ya pango za majabali, na ndani ya tundu za miamba iliyopasuka, mbele za utisho wa BWANA na utukufu wa enzi yake, atakapoondoka ili aitetemeshe mno dunia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao wataingia katika mapango chini ya mawe na kwenye nyufa za mawe, kwa kuepuka kitisho cha Yawe, mbali na mwangaza wa utukufu wake, atakapokuja kuogopesha dunia.