Isaiah 2:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa, enyi wazawa wa Yakobo, njoni, tutembee katika mwanga wa Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Njooni, enyi nyumba ya Yakobo, tutembeeni katika nuru ya Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enyi wa nyumba ya Israeli, njoni, twende katika nuru ya Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa, enyi wazawa wa Yakobo, njoni, tutembee katika mwanga wa Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Njoni, Enyi nyumba ya Yakobo, sisi na tutembee katika nuru ya BWANA
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Njooni, enyi nyumba ya Yakobo, tutembeeni katika nuru ya bwana
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Enyi wa nyumba ya Israeli, njoni, twende katika nuru ya BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa, enyi wazawa wa Yakobo, njoni, tutembee katika mwanga wa Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mlio wa mlango wa Yakobo, njoni, tuendelee pamoja katika mwanga wa Bwana!*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enyi wa nyumba ya Israeli, njoni, twende katika nuru ya BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa, enyi wazao wa Yakobo, mukuje, tutembee katika mwangaza wa Yawe.