Isaiah 2:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nchi yao imejaa vinyago vya miungu, huabudu kazi ya mikono yao, vitu walivyotengeneza wao wenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nchi yao imejaa sanamu; wanasujudia kazi za mikono yao, vitu vile vidole vyao vimevitengeneza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena nchi yao imejaa sanamu; huabudu kazi ya mikono yao, vitu vilivyofanywa kwa vidole vyao wenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nchi yao imejaa vinyago vya miungu, huabudu kazi ya mikono yao, vitu walivyotengeneza wao wenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nchi yao imejaa sanamu, wanasujudia kazi za mikono yao, vitu vile ambavyo vidole vyao vimevitengeneza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nchi yao imejaa sanamu, wanasujudia kazi za mikono yao, vitu vile vidole vyao vimevitengeneza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena nchi yao imejaa sanamu; huabudu kazi ya mikono yao, vitu vilivyotengenezwa kwa vidole vyao wenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nchi yao imejaa vinyago vya miungu, huabudu kazi ya mikono yao, vitu walivyotengeneza wao wenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nchi yao ikajazwa vinyago; huziangukia kazi za mikono yao, walizozitengeneza kwa vidole vyao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena nchi yao imejaa sanamu; huabudu kazi ya mikono yao, vitu vilivyofanywa kwa vidole vyao wenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Inchi yao imejaa sanamu za miungu, watu wake wanaabudu kazi ya mikono yao, vitu walivyotengeneza wao wenyewe.