Isaiah 20:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sargoni mfalme wa Ashuru, alimtuma jemadari wake mkuu kuuvamia mji wa Ashdodi. Naye akaushambulia na kuuteka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwaka ule jemadari mkuu alitumwa na Mfalme Sargoni wa Ashuru, naye akaja Ashdodi, akaushambulia na kuuteka,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika mwaka ule jemadari
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sargoni mfalme wa Ashuru, alimtuma jemadari wake mkuu kuuvamia mji wa Ashdodi. Naye akaushambulia na kuuteka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika mwaka ule ambao jemadari mkuu, alitumwa na Mfalme Sargoni wa Ashuru, naye akaja mpaka Ashdodi akaushambulia na kuuteka,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika mwaka ule ambao jemadari mkuu alitumwa na Mfalme Sargoni wa Ashuru, naye akaja mpaka Ashdodi, akaushambulia na kuuteka,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika mwaka ule jemadari yule alipofika Ashdodi, alipotumwa na Sargoni mfalme wa Ashuru; naye alipigana na Ashdodi akautwaa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sargoni mfalme wa Ashuru, alimtuma jemadari wake mkuu kuuvamia mji wa Ashdodi. Naye akaushambulia na kuuteka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwaka wake ulipotimia, Sargoni, mfalme wa Asuri, alimtuma Tartani kwenda Asdodi; akapiga vita kule Asdodi, akauteka mji huo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika mwaka ule jemadari yule alipofika Ashdodi, alipotumwa na Sargoni mfalme wa Ashuru; naye alipigana na Ashdodi akautwaa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sargoni, mufalme wa Asuria, alimutuma jemadari wake mukubwa kushambulia muji wa Asidodi. Naye akaushambulia na kuuteka.