Isaiah 20:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha wote waliotegemea Kushi na kujivunia Misri watajuta na kufadhaika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale waliotegemea Kushi na kujivunia Misri wataogopa na kuaibika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao watafadhaika, na kuona haya kwa ajili ya Kushi, matumaini yao, na Misri, utukufu wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha wote waliotegemea Kushi na kujivunia Misri watajuta na kufadhaika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale waliotegemea Kushi na kujivunia Misri wataogopa na kuaibika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale waliotegemea Kushi na kujivunia Misri wataogopa na kuaibika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao watafadhaika, na kuona haya kwa ajili ya Kushi, matumaini yao, na Misri, utukufu wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha wote waliotegemea Kushi na kujivunia Misri watajuta na kufadhaika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo watu watastuka na kuingiwa na soni kwa ajili ya Wanubi, waliowatazamia, na kwa ajili ya Wamisri, ambao walijivunia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao watafadhaika, na kuona haya kwa ajili ya Kushi, matumaini yao, na Misri, utukufu wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha wote waliotegemea Kushi na kujivunia Misri watajuta na kufazaika.