Isaiah 21:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ewe Israeli, watu wangu, enyi mliotwangwa na kupurwa kama nafaka. Sasa nimewaambieni mambo niliyoyasikia kwa Mwenyezi-Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee watu wangu, mliopondwa kwenye sakafu ya kupuria, ninawaambia kile nilichokisikia kutoka kwa Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, kutoka kwa Mungu wa Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ewe niliyekufikicha, na nafaka ya sakafu yangu; Hayo niliyoyasikia kwa Bwana wa majeshi, Mungu wa Israeli, nimewapasha habari zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ewe Israeli, watu wangu, enyi mliotwangwa na kupurwa kama nafaka. Sasa nimewaambieni mambo niliyoyasikia kwa Mwenyezi-Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee watu wangu, mliopondwapondwa kwenye sakafu ya kupuria, ninawaambia kile nilichokisikia kutoka kwa BWANA Mwenye Nguvu Zote, kutoka kwa Mungu wa Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee watu wangu, mliopondwa kwenye sakafu ya kupuria, ninawaambia kile nilichokisikia kutoka kwa bwana Mwenye Nguvu Zote, kutoka kwa Mungu wa Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ewe wangu niliyekufikicha na kukupura; Hayo niliyoyasikia kwa BWANA wa majeshi, Mungu wa Israeli, nayatangaza kwenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ewe Israeli, watu wangu, enyi mliotwangwa na kupurwa kama nafaka. Sasa nimewaambieni mambo niliyoyasikia kwa Mwenyezi-Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninyi wenzangu mliopigwa, kama mpunga unavyopigwa penye kuupuria, niliyoyasikia kwa Bwana Mwenye vikosi, Mungu wa Isiraeli, nimewatangazia ninyi. Tamko zito la kuwaambia Waduma:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ewe niliyekufikicha, na nafaka ya sakafu yangu; Hayo niliyoyasikia kwa BWANA wa majeshi, Mungu wa Israeli, nimewapasha habari zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ewe Israeli, watu wangu, enyi muliotwangwa na kupepetwa kama ngano. Sasa nimewaambia ninyi mambo niliyoyasikia kwa Yawe wa majeshi, Mungu wa Israeli.