Isaiah 21:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kauli ya Mungu dhidi ya Duma. Ninasikia mtu ananiita kutoka Seiri: “Mlinzi, nini kipya leo usiku? Kuna kipya chochote leo usiku?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Neno la unabii kuhusu Duma: Mtu fulani ananiita kutoka Seiri, “Mlinzi, usiku utaisha lini? Mlinzi, usiku utaisha lini?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ufunuo juu ya Duma. Mtu ananililia toka Seiri, Ee mlinzi, habari gani za usiku? Ee mlinzi, habari gani za usiku?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kauli ya Mungu dhidi ya Duma. Ninasikia mtu ananiita kutoka Seiri: “Mlinzi, nini kipya leo usiku? Kuna kipya chochote leo usiku?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Neno kuhusu Duma: Mtu fulani ananiita kutoka Seiri, “Mlinzi, ni muda gani uliobaki kupambazuke? Mlinzi, usiku utaisha lini?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Neno kuhusu Duma: Mtu fulani ananiita kutoka Seiri, “Mlinzi, usiku utaisha lini? Mlinzi, usiku utaisha lini?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ufunuo juu ya Duma. Mtu ananililia toka Seiri, Ee mlinzi, habari gani za usiku? Ee mlinzi, habari gani za usiku?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kauli ya Mungu dhidi ya Duma. Ninasikia mtu ananiita kutoka Seiri: “Mlinzi, nini kipya leo usiku? Kuna kipya chochote leo usiku?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Toka Seiri wananiita kwamba: Mlinzi, saa ngapi sasa za usiku? Mlinzi, saa ngapi sasa za usiku?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ufunuo juu ya Duma. Mtu ananililia toka Seiri, Ee mlinzi, habari gani za usiku? Ee mlinzi, habari gani za usiku?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ujumbe wa Mungu juu ya Duma. Ninasikia mutu ananiita kutoka Seiri: Mulinzi, nini kipya leo usiku? Kuna kipya chochote leo usiku?