Isaiah 21:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nami mlinzi nikajibu: “Asubuhi inakuja, kadhalika na usiku; ukitaka kuuliza, uliza tu; nenda urudi tena.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mlinzi anajibu, “Asubuhi inakuja, lakini pia usiku. Ukitaka kuuliza, basi uliza; na urudi mara tena.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mlinzi akasema, Mchana unakuja na usiku pia; mkitaka kuuliza, ulizeni; njoni tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nami mlinzi nikajibu: “Asubuhi inakuja, kadhalika na usiku; ukitaka kuuliza, uliza tu; nenda urudi tena.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mlinzi akajibu, “Asubuhi inakuja, lakini pia usiku. Kama ungeliuliza, basi uliza; bado na urudi tena.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mlinzi anajibu, “Asubuhi inakuja, lakini pia usiku. Kama ungeliuliza, basi uliza; bado na urudi tena.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mlinzi akasema, Mchana unakuja na usiku pia; mkitaka kuuliza, ulizeni; njoni tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nami mlinzi nikajibu: “Asubuhi inakuja, kadhalika na usiku; ukitaka kuuliza, uliza tu; nenda urudi tena.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mlinzi akajibu: Ijapo mapema yaje, usiku utakuwa ungalipo. Kama mnataka kuuliza mengine, haya! Ulizeni! Tamko zito la kuwaambia Waarabu:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mlinzi akasema, Mchana unakuja na usiku pia; mkitaka kuuliza, ulizeni; njoni tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nami mulinzi nikajibu: Asubui inakuja, vilevile usiku; ukitaka kuuliza, uliza tu; kwenda urudi tena.