Isaiah 21:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kauli ya Mungu dhidi ya Arabia. Enyi misafara ya Dedani, pigeni kambi leo usiku kwenye nyika za Arabia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Neno la unabii kuhusu Arabia: Enyi misafara ya Wadedani, mnaopiga kambi katika vichaka vya Arabia,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ufunuo juu ya Arabuni. Ndani ya msitu wa Arabuni mtalala, Enyi misafara ya Wadedani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kauli ya Mungu dhidi ya Arabia. Enyi misafara ya Dedani, pigeni kambi leo usiku kwenye nyika za Arabia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Neno kuhusu Arabia: Enyi misafara ya Wadedani, Mnaopiga kambi katika vichaka vya Arabia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Neno kuhusu Arabia: Enyi misafara ya Wadedani, mnaopiga kambi katika vichaka vya Arabia,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ufunuo juu ya Arabuni. Ndani ya msitu wa Arabuni mtalala, Enyi misafara ya Wadedani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kauli ya Mungu dhidi ya Arabia. Enyi misafara ya Dedani, pigeni kambi leo usiku kwenye nyika za Arabia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sharti mlale kwenye mapori nyikani, ninyi watembezi wa Dedani!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ufunuo juu ya Arabuni. Ndani ya msitu wa Arabuni mtalala, Enyi misafara ya Wadedani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ujumbe wa Mungu juu ya Arabia. Enyi makundi ya wasafiri ya Dedani, mupige kambi leo usiku katika pori za Arabia.