Isaiah 21:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Enyi wakazi wa nchi ya Tema, wapeni maji hao wenye kiu; wapelekeeni chakula hao wakimbizi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
leteni maji kwa wenye kiu, ninyi mnaoishi Tema, leteni chakula kwa ajili ya wakimbizi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waleteeni wenye kiu maji, Enyi wenyeji wa nchi ya Tema; Nendeni kuwalaki wakimbiao na chakula chao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enyi wakazi wa nchi ya Tema, wapeni maji hao wenye kiu; wapelekeeni chakula hao wakimbizi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Leteni maji kwa wenye kiu, ninyi mnaoishi Tema, leteni chakula kwa ajili ya wakimbizi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
leteni maji kwa wenye kiu, ninyi mnaoishi Tema, leteni chakula kwa ajili ya wakimbizi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waleteeni wenye kiu maji, Enyi wenyeji wa nchi ya Tema; Nendeni kuwalaki wakimbiao na chakula chao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enyi wakazi wa nchi ya Tema, wapeni maji hao wenye kiu; wapelekeeni chakula hao wakimbizi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waliokufa kiu wapelekeeni maji, ninyi mkaao katika nchi ya Tema! Waliokimbia wagawieni vilaji vya kuwatunza!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waleteeni wenye kiu maji, Enyi wenyeji wa nchi ya Tema; Nendeni kuwalaki wakimbiao na chakula chao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enyi wakaaji wa inchi ya Tema, muwape maji hao wenye kiu; muwapelekee chakula hao wakimbizi.