Isaiah 21:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana wamekimbia mapanga, mapanga yaliyochomolewa, pinde zilizovutwa na ukali wa mapigano.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanaukimbia upanga, upanga uliochomolewa alani, kutoka upinde uliopindwa, na kutoka kwa joto la vita.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana wanakimbia mbele ya panga, Upanga uliofutwa, na upinde uliopindwa, Na mbele ya ukali wa vita.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana wamekimbia mapanga, mapanga yaliyochomolewa, pinde zilizovutwa na ukali wa mapigano.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanaukimbia upanga, kutoka upanga uliochomolewa alani, kutoka upinde uliopindwa na kutoka kwenye joto la vita.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanaukimbia upanga, kutoka upanga uliochomolewa alani, kutoka upinde uliopindwa, na kutoka kwenye joto la vita.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana wanakimbia mbele ya panga, Upanga uliofutwa, na upinde uliopindwa, Na mbele ya ukali wa vita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana wamekimbia mapanga, mapanga yaliyochomolewa, pinde zilizovutwa na ukali wa mapigano.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wamezikimbia panga, zile panga walizochomolewa wao, wamezikimbia nazo pindi, walizovutiwa, hata uzito wote wa vita.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana wanakimbia mbele ya panga, Upanga uliofutwa, na upinde uliopindwa, Na mbele ya ukali wa vita.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana wamekimbia mapanga, mapanga yaliyochomolewa, pinde zilizovutwa na ukali wa mapigano.