Isaiah 21:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wapiga upinde wachache kati ya mashujaa wa watu wa Kedari ndio watakaosalia. Mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, nimenena.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanaume wavutao pinde walionusurika, mashujaa wa Kedari, watakuwa wachache.” Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, amesema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mabaki ya hesabu ya wavuta pinde, hao mashujaa wa Kedari watakuwa wachache; maana Bwana, Mungu wa Israeli, amenena neno hili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wapiga upinde wachache kati ya mashujaa wa watu wa Kedari ndio watakaosalia. Mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, nimenena.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanaume wavutao pinde walionusurika, mashujaa wa Kedari, watakuwa wachache.” BWANA, Mungu wa Israeli, amesema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanaume wavutao pinde walionusurika, mashujaa wa Kedari, watakuwa wachache.” bwana, Mungu wa Israeli, amesema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mabaki ya hesabu ya wavuta pinde, hao mashujaa wa Kedari watakuwa wachache; maana BWANA, Mungu wa Israeli, amenena neno hili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wapiga upinde wachache kati ya mashujaa wa watu wa Kedari ndio watakaosalia. Mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, nimenena.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watakaosalia kwa wana wa Kedari walio wenye nguvu katika hesabu yao ya wavuta pindi watakuwa wachache, kwani Bwana Mungu wa Isiraeli amevisema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mabaki ya hesabu ya wavuta pinde, hao mashujaa wa Kedari watakuwa wachache; maana BWANA, Mungu wa Israeli, amenena neno hili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wapigapinde wachache kati ya mashujaa wa watu wa Kedari ndio watakaobaki. Ni Yawe, Mungu wa Israeli, anayesema hivyo.