Isaiah 21:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Moyo unanidunda na woga umenikumba. Nilitamani jioni ifike lakini ilipofika ikawa ya kutetemesha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Moyo wangu unababaika, woga unanifanya nitetemeke, gizagiza la jioni nililolitamani sana, limekuwa hofu kuu kwangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Moyo wangu unapiga-piga, utisho umenitaabisha, gizagiza la jioni nilipendalo limegeuka likanitetemesha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Moyo unanidunda na woga umenikumba. Nilitamani jioni ifike lakini ilipofika ikawa ya kutetemesha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Moyo wangu unababaika, woga unanifanya nitetemeke, gizagiza la jioni nililolitamani sana, limekuwa hofu kuu kwangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Moyo wangu unababaika, woga unanifanya nitetemeke, gizagiza la jioni nililolitamani sana, limekuwa hofu kuu kwangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Moyo wangu unapigapiga, utisho umenitaabisha, gizagiza la jioni nilipendalo limegeuka likanitetemesha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Moyo unanidunda na woga umenikumba. Nilitamani jioni ifike lakini ilipofika ikawa ya kutetemesha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Roho yangu ikazimia, mastuko yakanigundua; saa za jioni, nilizozipenda, zikawa za kunitetemesha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Moyo wangu unapiga-piga, utisho umenitaabisha, gizagiza la jioni nilipendalo limegeuka likanitetemesha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Moyo unanidunda na woga umenishika. Nilitamani magaribi ifike, lakini ilipofika ikakuwa ya kutetemesha.