Isaiah 21:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Chakula kimetayarishwa, shuka zimetandikwa, sasa watu wanakula na kunywa. Ghafla, sauti inasikika: “Inukeni enyi watawala! Wekeni silaha tayari!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanaandaa meza, wanatandaza mazulia, wanakula, wanakunywa! Amkeni, enyi maafisa, zitieni ngao mafuta!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wanaandika meza, wanaweka ulinzi, wanakula, wanakunywa. Simameni, enyi wakuu, itieni ngao mafuta.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Chakula kimetayarishwa, shuka zimetandikwa, sasa watu wanakula na kunywa. Ghafla, sauti inasikika: “Inukeni enyi watawala! Wekeni silaha tayari!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanaandaa meza, wanatandaza mazulia, wanakula, wanakunywa! Amkeni, enyi maafisa, zitieni ngao mafuta!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanaandaa meza, wanatandaza mazulia, wanakula, wanakunywa! Amkeni, enyi maafisa, zitieni ngao mafuta!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanaandaa meza, wanaweka ulinzi, wanakula, wanakunywa. Simameni, enyi wakuu, itieni ngao mafuta.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Chakula kimetayarishwa, shuka zimetandikwa, sasa watu wanakula na kunywa. Ghafla, sauti inasikika: “Inukeni enyi watawala! Wekeni silaha tayari!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wao hutandika meza, huweka wangoja zamu, hula, hunywa. Mara wanaambiwa: Inukeni, wakuu! Zipakeni ngao mafuta!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wanaandika meza, wanaweka ulinzi, wanakula, wanakunywa. Simameni, enyi wakuu, itieni ngao mafuta.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Chakula kimetayarishwa, mikeka zimetandikwa, sasa watu wanakula na kunywa. Kwa rafla, sauti inasikilika: Musimame enyi watawala! Muweke silaha tayari!