Isaiah 21:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana Bwana aliniambia, “Nenda ukaweke mlinzi; mwambie atangaze atakachoona.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hili ndilo Bwana analoniambia: “Nenda, weka mlinzi, na atoe taarifa ya kile anachokiona.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana Bwana ameniambia hivi, Enenda, weka mlinzi; aonayo na ayatangaze.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana Bwana aliniambia, “Nenda ukaweke mlinzi; mwambie atangaze atakachoona.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hili ndilo Bwana analoniambia: “Nenda, weka mlinzi, na mtake atoe taarifa ya kile anachokiona.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hili ndilo Bwana analoniambia: “Nenda, weka mlinzi, na atoe taarifa ya kile anachokiona.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana Bwana ameniambia hivi, Nenda, weka mlinzi; aonayo na ayatangaze.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana Bwana aliniambia, “Nenda ukaweke mlinzi; mwambie atangaze atakachoona.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani ndivyo, Bwana alivyoniambia: Nenda, uweke mlinzi, akuambie, atakayoyaona!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana Bwana ameniambia hivi, Enenda, weka mlinzi; aonayo na ayatangaze.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Bwana aliniambia: Kwenda uweke mulinzi; umwambie atangaze atakachoona.