Isaiah 21:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akiona kikosi, wapandafarasi wawiliwawili, wapandangamia na wapandapunda, na awe macho; naam, akae macho!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Anapoona magari ya vita pamoja na kundi la farasi, wapanda punda au wapanda ngamia, na awe macho, awe macho kikamilifu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akiona kundi la wapanda farasi, wakienda wawili wawili, na kundi la punda, na kundi la ngamia; asikilize sana, akijitahidi kusikiliza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akiona kikosi, wapandafarasi wawiliwawili, wapandangamia na wapandapunda, na awe macho; naam, akae macho!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Anapoona magari ya vita pamoja na kundi la farasi, wapanda punda au wapanda ngamia, na awe macho, awe macho kikamilifu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Anapoona magari ya vita pamoja na kundi la farasi, wapanda punda au wapanda ngamia, na awe macho, awe macho kikamilifu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akiona kundi la wapanda farasi, wakienda wawili wawili, na kundi la punda, na kundi la ngamia; na asikilize kwa makini, kwa makini sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akiona kikosi, wapandafarasi wawiliwawili, wapandangamia na wapandapunda, na awe macho; naam, akae macho!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Atakapoona kikosi cha watu waliopanda farasi, wakienda wawiliwawili, hata kikosi cha punda na kikosi cha ngamia, na aangalie sana kwa uangalifu mwingi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akiona kundi la wapanda farasi, wakienda wawili wawili, na kundi la punda, na kundi la ngamia; asikilize sana, akijitahidi kusikiliza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akiona kikundi, waaskari wapanda-farasi wawiliwawili, wapanda-ngamia na wapanda-punda, akuwe macho. Akuwe macho kabisa!