Isaiah 21:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tazama, kikosi kinakuja, wapandafarasi wawiliwawili. Wanasema: “Babuloni umeanguka! Umeanguka! Sanamu zote za miungu yake zimetupwa chini na kuvunjwavunjwa!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama, yuaja mtu anayepanda gari la vita pamoja na kundi la farasi. Naye anajibu: ‘Babeli umeanguka, umeanguka! Vinyago vyote vya miungu yake vimelala chini vikiwa vimevunjwa!’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na, tazama, linakuja kundi la watu, wapanda farasi, wakienda wawili wawili. Akajibu na kusema, Babeli umeanguka, umeanguka; na sanamu zote za miungu yake zimevunjwa chini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tazama, kikosi kinakuja, wapandafarasi wawiliwawili. Wanasema: “Babuloni umeanguka! Umeanguka! Sanamu zote za miungu yake zimetupwa chini na kuvunjwavunjwa!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama, yuaja mtu anayepanda gari la vita pamoja na kundi la farasi. Naye akajibu: ‘Babeli ameanguka, ameanguka! Vinyago vyote vya miungu yake vimelala chini vikiwa vimevunjwavunjwa!’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama, yuaja mtu anayepanda gari la vita pamoja na kundi la farasi. Naye anajibu: ‘Babeli umeanguka, umeanguka! Vinyago vyote vya miungu yake vimelala chini vikiwa vimevunjwa!’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na, tazama, linakuja kundi la watu, wapanda farasi, wakienda wawili wawili. Akajibu na kusema, Babeli umeanguka, umeanguka; na sanamu zote za miungu yake zimevunjwa chini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tazama, kikosi kinakuja, wapandafarasi wawiliwawili. Wanasema: “Babuloni umeanguka! Umeanguka! Sanamu zote za miungu yake zimetupwa chini na kuvunjwavunjwa!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa tazameni! Panakuja kikosi cha watu waliopanda farasi wakienda wawiliwawili! Kisha akasema: Umeanguka! Umeanguka mji wa Babeli! Navyo vinyago vyake vyote vya miungu yao amevivunja na kuvitupa chini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na, tazama, linakuja kundi la watu, wapanda farasi, wakienda wawili wawili. Akajibu na kusema, Babeli umeanguka, umeanguka; na sanamu zote za miungu yake zimevunjwa chini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Angalia, wanakuja: waaskari wapanda-farasi wawiliwawili. Wanasema: Babeli umeanguka! Umeanguka! Sanamu zote za miungu yake zimetupwa chini na kuvunjwavunjwa!