Isaiah 22:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku hiyo, Mwenyezi-Mungu, wa majeshi aliwataka mlie na kuomboleza, mnyoe nywele na kuvaa mavazi ya gunia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, aliwaita siku ile ili kulia na kuomboleza, kung’oa nywele zenu na kuvaa magunia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku hiyo Bwana, Bwana wa majeshi, akawaita watu walie na kuomboleza, na kung'oa nywele zao, na kuvaa nguo za magunia;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku hiyo, Mwenyezi-Mungu, wa majeshi aliwataka mlie na kuomboleza, mnyoe nywele na kuvaa mavazi ya gunia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bwana, BWANA Mwenye Nguvu Zote, aliwaita siku ile ili kulia na kuomboleza, kung'oa nywele zenu na kuvaa nguo ya gunia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bwana, bwana Mwenye Nguvu Zote, aliwaita siku ile ili kulia na kuomboleza, kung’oa nywele zenu na kuvaa nguo ya gunia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku hiyo Bwana, BWANA wa majeshi, akawaita watu walie na kuomboleza, na kung'oa nywele zao, na kuvaa nguo za magunia;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku hiyo, Mwenyezi-Mungu, wa majeshi aliwataka mlie na kuomboleza, mnyoe nywele na kuvaa mavazi ya gunia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana aliye Bwana Mwenye vikosi aliwaita siku ile, mlie na kuomboleza, mnyoe vichwa na kuvaa magunia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku hiyo Bwana, BWANA wa majeshi, akawaita watu walie na kuomboleza, na kung’oa nywele zao, na kuvaa nguo za magunia;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku hiyo, Yawe wa majeshi alitaka mulie na kuomboleza, munyoe nywele na kuvaa nguo za gunia.