Isaiah 22:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Una haki gani kuwa huku? Je, una ndugu yeyote hapa, hata ukajichongea kaburi mwambani juu ya mlima?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unafanya nini hapa, na ni nani aliyekupa ruhusa kujikatia kaburi lako mwenyewe, ukichonga kaburi lako mahali palipo juu, na kutoboa kwa patasi mahali pako pa kupumzikia katika mwamba?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Unafanyaje hapa? Nawe una nani hapa? Hata ukachimba kaburi hapa; ukamchimbia kaburi huko juu, na kumchongea makao katika jabali!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Una haki gani kuwa huku? Je, una ndugu yeyote hapa, hata ukajichongea kaburi mwambani juu ya mlima?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unafanya nini hapa na ni nani aliyekupa ruhusa kujikatia kaburi lako mwenyewe, ukichonga kaburi lako mahali palipo juu na kutoboa kwa patasi mahali pako pa kupumzikia katika mwamba?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unafanya nini hapa, na ni nani aliyekupa ruhusa kujikatia kaburi lako mwenyewe, ukichonga kaburi lako mahali palipo juu, na kutoboa kwa patasi mahali pako pa kupumzikia katika mwamba?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Unafanyaje hapa? Nawe una nani hapa? Hata ukachimba kaburi hapa; ukamchimbia kaburi huko juu, na kumchongea makao katika jabali!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Una haki gani kuwa huku? Je, una ndugu yeyote hapa, hata ukajichongea kaburi mwambani juu ya mlima?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Unafanya nini hapa? Kuna nani wa kwenu huku? Kumbe unajichimbia kaburi hapa! Kweli unajichimbia hapa juu kaburi lako, unajichongea magengeni kao lako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Unafanyaje hapa? Nawe una nani hapa? Hata ukachimba kaburi hapa; ukamchimbia kaburi huko juu, na kumchongea makao katika jabali!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Una haki gani kuwa huku? Una ndugu yeyote hapa, hata ukajichongea kaburi ndani ya jiwe juu ya mulima?