Isaiah 22:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe ni mwenye nguvu, lakini Mwenyezi-Mungu atakutupilia mbali kwa nguvu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Jihadhari, Mwenyezi Mungu yu karibu kukukamata thabiti, na kukutupa mbali, ewe mtu mwenye nguvu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, Bwana atakutupa kwa nguvu, kama mtu mwenye nguvu; naam, atakuzonga-zonga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe ni mwenye nguvu, lakini Mwenyezi-Mungu atakutupilia mbali kwa nguvu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Jihadhari, BWANA yu karibu kukukamata kwa uthabiti na kukutupa mbali kwa nguvu, Ewe mtu mwenye nguvu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Jihadhari, bwana yu karibu kukukamata thabiti, na kukutupa mbali, ewe mtu mwenye nguvu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, BWANA atakutupa kwa nguvu, kama mtu mwenye nguvu; naam, atakuzongazonga.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe ni mwenye nguvu, lakini Mwenyezi-Mungu atakutupilia mbali kwa nguvu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazama, Bwana atakutupa na kukubwaga kwa nguvu! Wewe mtu wa kiume atakukunja kabisa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, BWANA atakutupa kwa nguvu, kama mtu mwenye nguvu; naam, atakuzonga-zonga.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe bwana, Yawe atakutupilia mbali kwa nguvu. Atakubana kabisa