Isaiah 22:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu atakungoa madarakani mwako na kukuporomosha kutoka mahali ulipo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitakuondoa kutoka kazi yako, nawe utaondoshwa kutoka nafasi yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitakusukuma na kukutoa katika mahali pako, naye atakushusha utoke hapa usimamapo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu atakung'oa madarakani mwako na kukuporomosha kutoka mahali ulipo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitakuondoa kutoka katika kazi yako, nawe utaondoshwa kutoka katika nafasi yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitakuondoa kutoka kazi yako, nawe utaondoshwa kutoka nafasi yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitakusukuma na kukutoa katika mahali pako, naye atakushusha utoke hapa usimamapo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu atakungoa madarakani mwako na kukuporomosha kutoka mahali ulipo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitakutangua katika utunzaji wako, nitakuondoa katika usimamizi wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitakusukuma na kukutoa katika mahali pako, naye atakushusha utoke hapa usimamapo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe atakuongoa toka katika madaraka yako na kukuporomosha kutoka pahali unapokuwa.