Isaiah 22:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitamwimarisha Eliakimu kama kigingi kilichofungiwa mahali salama, naye atapata heshima tukufu katika ukoo wa wazee wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitampigilia kama kigingi kilicho mahali palipo imara, naye atakuwa kiti cha heshima kwa ajili ya nyumba ya baba yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitamkaza kama msumari mahali palipo imara; naye atakuwa kiti cha utukufu kwa nyumba ya baba yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitamwimarisha Eliakimu kama kigingi kilichofungiwa mahali salama, naye atapata heshima tukufu katika ukoo wa wazee wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitamgongomea kama kigingi kilicho mahali palipo imara, naye atakuwa kiti cha enzi cha heshima kwa ajili ya nyumba ya baba yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitamgongomea kama kigingi kilicho mahali palipo imara, naye atakuwa kiti cha enzi cha heshima kwa ajili ya nyumba ya baba yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitamkaza kama msumari mahali palipo imara; naye atakuwa kiti cha utukufu kwa nyumba ya baba yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitamwimarisha Eliakimu kama kigingi kilichofungiwa mahali salama, naye atapata heshima tukufu katika ukoo wa wazee wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitampigilia kama msumari mahali pagumu, atauwia lango wa baba yake kiti chenye utukufu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitamkaza kama msumari mahali palipo imara; naye atakuwa kiti cha utukufu kwa nyumba ya baba yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitamwimarisha Eliakimu kama musumari uliopigiliwa pahali pagumu, naye atapata heshima tukufu katika ukoo wa wazee wake.