Isaiah 22:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maofisa wenu wote walikimbia, wakakamatwa hata kabla ya kufyatua mshale mmoja. Watu wako wote waliopatikana walitekwa, ingawa walikuwa wamekimbilia mbali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Viongozi wako wote wamekimbia pamoja, wamekamatwa bila kutumia upinde. Ninyi nyote mliokamatwa mlichukuliwa wafungwa pamoja, mlikimbia wakati adui alipokuwa bado mbali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakuu wako wote wamekimbia pamoja, Wamefungwa wasiutumie upinde. Wote walioonekana wamefungwa pamoja, Wamekimbia mbali sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maofisa wenu wote walikimbia, wakakamatwa hata kabla ya kufyatua mshale mmoja. Watu wako wote waliopatikana walitekwa, ingawa walikuwa wamekimbilia mbali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Viongozi wako wote wamekimbia pamoja, wamekamatwa bila kutumia upinde. Ninyi nyote mliokamatwa mlichukuliwa wafungwa pamoja, mlikimbia wakati adui alipokuwa bado mbali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Viongozi wako wote wamekimbia pamoja, wamekamatwa bila kutumia upinde. Ninyi nyote mliokamatwa mlichukuliwa wafungwa pamoja, mlikimbia wakati adui alipokuwa bado mbali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakuu wako wote wamekimbia pamoja, Wamefungwa wasiutumie upinde. Wote walioonekana wamefungwa pamoja, Wamekimbia mbali sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maofisa wenu wote walikimbia, wakakamatwa hata kabla ya kufyatua mshale mmoja. Watu wako wote waliopatikana walitekwa, ingawa walikuwa wamekimbilia mbali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakuu wako wamekimbia wote pamoja, wakatekwa pasipo upindi, nao watu wako waliopatikana wametekwa wote, nao waliokimbia mbali.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakuu wako wote wamekimbia pamoja, Wamefungwa wasiutumie upinde. Wote walioonekana wamefungwa pamoja, Wamekimbia mbali sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakubwa wenu wote walikimbia, wakakamatwa hata mbele ya kufyatua mushale mumoja. Watu wako wote waliopatikana walitekwa, ingawa walikuwa wamekimbilia mbali.