Isaiah 22:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Majeshi ya Elamu, pinde na mishale mikononi, walikuja wamepanda farasi na magari ya vita; nalo jeshi la Kiri lilitayarisha ngao zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Elamu analichukua podo, pamoja na waendesha magari ya vita na farasi. Kiri anaifungua ngao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Elamu wameshika podo, pamoja na magari ya vita, na watu wenye kupanda farasi; na Kiri wameifunua ngao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Majeshi ya Elamu, pinde na mishale mikononi, walikuja wamepanda farasi na magari ya vita; nalo jeshi la Kiri lilitayarisha ngao zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Elamu analichukua podo, pamoja na waendesha magari ya vita na farasi, Kiri anaifungua ngao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Elamu analichukua podo, pamoja na waendesha magari ya vita na farasi. Kiri anaifungua ngao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Elamu wameshika podo, pamoja na magari ya vita, na watu wenye kupanda farasi; na Kiri wameifunua ngao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Majeshi ya Elamu, pinde na mishale mikononi, walikuja wamepanda farasi na magari ya vita; nalo jeshi la Kiri lilitayarisha ngao zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waelamu wameshika mapodo, wakapanda magari na farasi, Wakiri nao wakazifunua ngao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Elamu wameshika podo, pamoja na magari ya vita, na watu wenye kupanda farasi; na Kiri wameifunua ngao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Majeshi ya Elamu, pinde na mishale katika mikono, walikuja wamepanda farasi na magari ya vita; nalo jeshi la Kiri lilitayarisha ngao zake.