Isaiah 22:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mabonde yako mazuri ewe Yerusalemu, yalijaa magari ya vita na farasi; wapandafarasi walijipanga tayari langoni mwako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mabonde yako yaliyo mazuri sana yamejaa magari ya vita, nao wapanda farasi wamewekwa kwenye malango ya mji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata ikawa mabonde yako mateule yamejaa magari ya vita, nao wapandao farasi wamejipanga wakielekea malango.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mabonde yako mazuri ewe Yerusalemu, yalijaa magari ya vita na farasi; wapandafarasi walijipanga tayari langoni mwako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mabonde yako yaliyo mazuri sana yamejaa magari ya vita, nao wapanda farasi wamewekwa kwenye malango ya mji;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mabonde yako yaliyo mazuri sana yamejaa magari ya vita, nao wapanda farasi wamewekwa kwenye malango ya mji;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata ikawa mabonde yako mateule yamejaa magari ya vita, nao wapandao farasi wamejipanga katika malango.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mabonde yako mazuri ewe Yerusalemu, yalijaa magari ya vita na farasi; wapandafarasi walijipanga tayari langoni mwako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, mabonde yako mazuri yalipojaa magari, nao wapanda farasi wakajisimamisha upande wa lango la maji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata ikawa mabonde yako mateule yamejaa magari ya vita, nao wapandao farasi wamejipanga wakielekea malango.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mabonde yako mazuri, ewe Yerusalema, yalijaa magari ya vita na farasi; wapanda-farasi walijipanga tayari kwenye milango yako.