Isaiah 22:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ulinzi wote wa Yuda uliporomoka. Siku hiyo mlikwenda kutafuta silaha zilizokuwa zimehifadhiwa katika Nyumba ya Msitu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ulinzi wa Yuda umeondolewa. Nawe ulitazama siku ile silaha katika Jumba la Kifalme la Mwituni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha alikiondoa kifuniko cha Yuda, nawe siku hiyo ulivitazama vyombo vya vita katika nyumba ya mwituni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ulinzi wote wa Yuda uliporomoka. Siku hiyo mlikwenda kutafuta silaha zilizokuwa zimehifadhiwa katika Nyumba ya Msitu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ulinzi wa Yuda umeondolewa. Nawe ulitazama katika siku ile silaha katika Jumba la Kifalme la Mwituni,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ulinzi wa Yuda umeondolewa. Nawe ulitazama siku ile silaha katika Jumba la Kifalme la Mwituni,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha alikiondoa kifuniko cha Yuda, nawe siku hiyo ulivitazama vyombo vya vita katika nyumba ya mwituni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ulinzi wote wa Yuda uliporomoka. Siku hiyo mlikwenda kutafuta silaha zilizokuwa zimehifadhiwa katika Nyumba ya Msitu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo akayafunua, ambayo Wayuda walijifunika nayo, siku ile wakayatazamia mata yaliyowekwa katika nyumba ya mwituni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha alikiondoa kifuniko cha Yuda, nawe siku hiyo ulivitazama vyombo vya vita katika nyumba ya mwituni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ulinzi wote wa Yuda uliporomoka. Siku hiyo mulikwenda kutafuta silaha zilizokuwa zimelindwa katika Nyumba ya Pori,