Isaiah 23:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Limeni sasa ardhi yenu enyi wakazi wa Tarshishi; maana hamna tena bandari kwa ajili ya meli kubwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Binti Tarshishi, pita katika nchi yako kama vile Mto Naili kwa kuwa huna tena bandari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pita katika nchi yako, kama Nile, Ee binti wa Tarshishi, hapana tena mshipi wa kukuzuia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Limeni sasa ardhi yenu enyi wakazi wa Tarshishi; maana hamna tena bandari kwa ajili ya meli kubwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Binti Tarshishi, pita katika nchi yako kama vile Mto Nile kwa kuwa huna tena bandari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Binti Tarshishi, pita katika nchi yako kama vile Mto Naili kwa kuwa huna tena bandari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pita katika nchi yako, kama Nile, Ee binti wa Tarshishi, hapana tena mshipi wa kukuzuia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Limeni sasa ardhi yenu enyi wakazi wa Tarshishi; maana hamna tena bandari kwa ajili ya meli kubwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Furikieni katika nchi yenu kama mto wa Nili, ninyi wana wa Tarsisi! Hakuna ukingo tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pita katika nchi yako, kama Nile, Ee binti wa Tarshishi, hapana tena mshipi wa kukuzuia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mulime sasa udongo wenu, enyi wakaaji wa Tarsisi; maana hamuna tena kivuko kwa ajili ya mashua kubwa.