Isaiah 23:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Twaa kinubi chako uzungukezunguke mjini, ewe malaya uliyesahaulika! Imba nyimbo tamutamu. Imba nyimbo nyinginyingi ili upate kukumbukwa tena.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Twaa kinubi, tembea mjini kote, ewe kahaba uliyesahauliwa; piga kinubi vizuri, imba nyimbo nyingi, ili upate kukumbukwa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Twaa kinubi, tembea mjini, Ewe kahaba uliyesahauliwa; Piga vizuri, imba nyimbo nyingi, Upate kukumbukwa tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Twaa kinubi chako uzungukezunguke mjini, ewe malaya uliyesahaulika! Imba nyimbo tamutamu. Imba nyimbo nyinginyingi ili upate kukumbukwa tena.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Twaa kinubi, tembea mjini kote, Ewe kahaba uliyesahauliwa; piga kinubi vizuri, imba nyimbo nyingi, ili kwamba upate kukumbukwa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Twaa kinubi, tembea mjini kote, ewe kahaba uliyesahauliwa; piga kinubi vizuri, imba nyimbo nyingi, ili upate kukumbukwa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Twaa kinubi, tembea mjini, Ewe kahaba uliyesahauliwa; Piga vizuri, imba nyimbo nyingi, Upate kukumbukwa tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Twaa kinubi chako uzungukezunguke mjini, ewe malaya uliyesahaulika! Imba nyimbo tamutamu. Imba nyimbo nyinginyingi ili upate kukumbukwa tena.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Chukua zeze, utembee mjini, wewe mwanamke mgoni uliyesahauliwa! Kalipige zeze vizuri, uliimbie nyimbo nyingi, ukumbukwe tena!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Twaa kinubi, tembea mjini, Ewe kahaba uliyesahauliwa; Piga vizuri, imba nyimbo nyingi, Upate kukumbukwa tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kamata kinubi chako uzungukezunguke ndani ya muji, ewe kahaba uliyesahauliwa! Imba nyimbo tamutamu. Imba nyimbo nyinginyingi, kusudi upate kukumbukwa tena.