Isaiah 23:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakasafiri katika bahari nyingi. Mapato yenu yalikuwa nafaka ya Misri, mkaweza kufanya biashara na mataifa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwenye maji makuu nafaka za Shihori zilikuja; mavuno ya Mto Naili yalikuwa mapato ya Tiro, naye akawa soko la mataifa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Vitu vilivyopandwa, vya Shihori, mavuno ya Nile, yaliyokuja juu ya maji mengi, ndiyo pato lake, naye alikuwa soko la mataifa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakasafiri katika bahari nyingi. Mapato yenu yalikuwa nafaka ya Misri, mkaweza kufanya biashara na mataifa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwenye maji makuu nafaka za Shihori zilikuja; mavuno ya Nile yalikuwa mapato ya Tiro, naye akawa soko la mataifa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwenye maji makuu nafaka za Shihori zilikuja; mavuno ya Naili yalikuwa mapato ya Tiro, naye akawa soko la mataifa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Vitu vilivyopandwa, vya Shihori, mavuno ya Nile, yaliyokuja juu ya maji mengi, ndilo pato lake, naye alikuwa soko la mataifa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakasafiri katika bahari nyingi. Mapato yenu yalikuwa nafaka ya Misri, mkaweza kufanya biashara na mataifa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwenye maji mengi uliletewa yaliyopandwa Sihori nayo yaliyovunwa mtoni kwa Nili, ukawa mahali, mataifa yalipochuuzia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Vitu vilivyopandwa, vya Shihori, mavuno ya Nile, yaliyokuja juu ya maji mengi, ndiyo pato lake, naye alikuwa soko la mataifa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
walisafiri katika bahari nyingi. Mapato yenu yalikuwa ngano ya Misri, mukaweza kufanya biashara na mataifa.