Isaiah 23:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Habari zitakapoifikia Misri kwamba Tiro imeangamizwa, Wamisri watafadhaika sana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Habari ifikapo Misri, watakuwa katika maumivu makuu kwa ajili ya taarifa kutoka Tiro.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Habari itakapofika Misri wataona uchungu sana kwa sababu ya habari ya Tiro.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Habari zitakapoifikia Misri kwamba Tiro imeangamizwa, Wamisri watafadhaika sana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Habari ifikapo Misri, watakuwa katika maumivu makuu kwa ajili ya taarifa kutoka Tiro.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Habari ifikapo Misri, watakuwa katika maumivu makuu kwa ajili ya taarifa kutoka Tiro.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Habari itakapofika Misri wataona uchungu sana kwa sababu ya habari ya Tiro.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Habari zitakapoifikia Misri kwamba Tiro imeangamizwa, Wamisri watafadhaika sana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wamisri watakapoyasikia, watashikwa na uchungu kwa kuzisikia hizo habari za Tiro.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Habari itakapofika Misri wataona uchungu sana kwa sababu ya habari ya Tiro.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Habari zitakapoifikia Misri kwamba Tiro imeangamizwa, Wamisri watafazaika sana.