Isaiah 24:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa Mwenyezi-Mungu anaiharibu dunia na kuifanya tupu. Atausokota uso wa dunia na kuwatawanya wakazi wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama, Mwenyezi Mungu ataifanya dunia kuwa ukiwa na kuiharibu, naye atauharibu uso wake na kutawanya wanaoishi ndani yake:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, Bwana ameifanya dunia kuwa tupu, aifanya ukiwa, aipindua, na kuwatawanya wakaao ndani yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa Mwenyezi-Mungu anaiharibu dunia na kuifanya tupu. Atausokota uso wa dunia na kuwatawanya wakazi wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama, BWANA ataifanya dunia kuwa ukiwa na kuiharibu, naye atauharibu uso wake na kutawanya wakaao ndani yake:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama, bwana ataifanya dunia kuwa ukiwa na kuiharibu, naye atauharibu uso wake na kutawanya wakaao ndani yake:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, BWANA ameifanya dunia kuwa tupu, aifanya ukiwa, aipindua, na kuwatawanya wakaao ndani yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa Mwenyezi-Mungu anaiharibu dunia na kuifanya tupu. Atausokota uso wa dunia na kuwatawanya wakazi wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazameni, Bwana anaondoa watu katika nchi, iwe peke yake! Anaiumbua umbo lake na kuwatawanya wanaokaa huku.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, BWANA ameifanya dunia kuwa tupu, aifanya ukiwa, aipindua, na kuwatawanya wakaao ndani yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa Yawe anaiharibu dunia na kuifanya tupu. Atavuruga uso wa dunia na kuwatawanya wakaaji wake.