Isaiah 24:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuna kilio barabarani kwa kukosa divai; shangwe yote imekoma, furaha imetoweka duniani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Barabarani wanalilia kupata mvinyo, furaha yote imegeuka kuwa majonzi, furaha yote imefukuziwa mbali na dunia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pana kilio katika njia kuu kwa sababu ya divai; furaha yote imetiwa giza, na changamko la nchi limetoweka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuna kilio barabarani kwa kukosa divai; shangwe yote imekoma, furaha imetoweka duniani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Barabarani wanalilia kupata mvinyo, furaha yote imegeuka kuwa majonzi, furaha yote imefukuziwa mbali na dunia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Barabarani wanalilia kupata mvinyo, furaha yote imegeuka kuwa majonzi, furaha yote imefukuziwa mbali na dunia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pana kilio katika njia kuu kwa sababu ya divai; furaha yote imetiwa giza, na changamko la nchi limetoweka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuna kilio barabarani kwa kukosa divai; shangwe yote imekoma, furaha imetoweka duniani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Makelele ya kulilia mvinyo yanasikilika huko nje, furaha yote imeguiwa na giza, maana yote yaliyoifurahisha nchi yamehama.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pana kilio katika njia kuu kwa sababu ya divai; furaha yote imetiwa giza, na changamko la nchi limetoweka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuna kilio katika barabara kwa kukosa divai; shangwe yote imekoma, furaha imetoweka katika dunia.