Isaiah 24:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama vile zeituni chache tu juu ya mzeituni au tini chache tu juu ya mtini baada ya kumaliza mavuno, ndivyo itakavyokuwa katika nchi zote: Watu wachache watabakia hai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndivyo itakavyokuwa duniani na miongoni mwa mataifa, kama vile wakati mzeituni upigwavyo, au kama vile wakati masazo yabakiavyo baada ya zabibu kuvunwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana katikati ya dunia, katikati ya mataifa, itakuwa hivi; kama wakati utikiswapo mzeituni, kama wakati waokotapo zabibu baada ya mavuno yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama vile zeituni chache tu juu ya mzeituni au tini chache tu juu ya mtini baada ya kumaliza mavuno, ndivyo itakavyokuwa katika nchi zote: watu wachache watabakia hai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndivyo itakavyokuwa duniani na miongoni mwa mataifa, kama vile wakati mzeituni upigwavyo, au kama vile wakati masazo yabakiavyo baada ya zabibu kuvunwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndivyo itakavyokuwa duniani na miongoni mwa mataifa, kama vile wakati mzeituni upigwavyo, au kama vile wakati masazo yabakiavyo baada ya zabibu kuvunwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana katikati ya dunia, katikati ya mataifa, itakuwa hivi; kama wakati utikiswapo mzeituni, kama wakati waokotapo zabibu baada ya mavuno yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama vile zeituni chache tu juu ya mzeituni au tini chache tu juu ya mtini baada ya kumaliza mavuno, ndivyo itakavyokuwa katika nchi zote: Watu wachache watabakia hai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani hivyo ndivyo, mambo yatakavyokuwa katika nchi katikati ya watu, kama yalivyo penye mavuno ya matunda ya mchekele au penye kuokoteza, mavuno ya zabibu yakiisha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana katikati ya dunia, katikati ya mataifa, itakuwa hivi; kama wakati utikiswapo mzeituni, kama wakati waokotapo zabibu baada ya mavuno yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama vile zeituni chache tu juu ya mizeituni au tini chache tu juu ya muti wa tini, kisha kumaliza mavuno, ndivyo inavyokuwa katika inchi zote.