Isaiah 24:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watakaosalia watapaza sauti, wataimba kwa shangwe. Kutoka magharibi watatangaza ukuu wa Mwenyezi-Mungu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanapaza sauti zao, wanapiga kelele kwa furaha, kutoka magharibi wanasifu kwa ukelele utukufu wa Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hawa watainua sauti zao, watapiga kelele; kwa sababu ya utukufu wa Bwana watapiga kelele toka baharini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watakaosalia watapaza sauti, wataimba kwa shangwe. Kutoka magharibi watatangaza ukuu wa Mwenyezi-Mungu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanainua sauti zao, wanapiga kelele kwa furaha, kutoka magharibi wanasifu kwa ukelele utukufu wa BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanainua sauti zao, wanapiga kelele kwa furaha, kutoka magharibi wanasifu kwa ukelele utukufu wa bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hawa watainua sauti zao, watapiga kelele; kwa sababu ya utukufu wa BWANA watapiga kelele toka baharini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watakaosalia watapaza sauti, wataimba kwa shangwe. Kutoka magharibi watatangaza ukuu wa Mwenyezi-Mungu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawa wanapaza sauti zao kwa kupiga vigelegele wakiushangilia utukufu wa Bwana kuanzia baharini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hawa watainua sauti zao, watapiga kelele; kwa sababu ya utukufu wa BWANA watapiga kelele toka baharini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wanalalamika, wanaimba kwa shangwe. Kutoka upande wa magaribi, wanatangaza ukubwa wa Yawe,