Isaiah 24:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nao wakazi wa mashariki watamsifu. Watu wa mbali watalisifu jina la Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo upande wa mashariki mpeni Mwenyezi Mungu utukufu, liadhimisheni jina la Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, katika visiwa vya bahari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, mtukuzeni Bwana katika mashariki, litukuzeni jina la Bwana, Mungu wa Israeli, katika visiwa vya bahari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nao wakazi wa mashariki watamsifu. Watu wa mbali watalisifu jina la Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo upande wa mashariki mpeni BWANA utukufu, liadhimisheni jina la BWANA, Mungu wa Israeli, katika visiwa vya bahari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo upande wa mashariki mpeni bwana utukufu, liadhimisheni jina la bwana, Mungu wa Israeli, katika visiwa vya bahari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, mtukuzeni BWANA katika mashariki, litukuzeni jina la BWANA, Mungu wa Israeli, katika visiwa vya bahari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nao wakazi wa mashariki watamsifu. Watu wa mbali watalisifu jina la Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo mtukuzeni Bwana nako maawioni kwa jua, nako kwenye visiwa vilivyoko baharini litukuzeni Jina la Bwana Mungu wa Isiraeli!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, mtukuzeni BWANA katika mashariki, litukuzeni jina la BWANA, Mungu wa Israeli, katika visiwa vya bahari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na wale wa upande wa mashariki wanamusifu. Watu wa mbali wanalisifu jina la Yawe, Mungu wa Israeli.