Isaiah 24:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku ile Mwenyezi-Mungu ataliadhibu jeshi la angani kadhalika na wafalme wa duniani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika siku ile Mwenyezi Mungu ataadhibu mamlaka zilizo juu mbinguni, na wafalme walio chini duniani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena itakuwa katika siku hiyo, Bwana ataliadhibu jeshi la mahali palipo juu katika mahali palipo juu, na wafalme wa dunia katika dunia;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku ile Mwenyezi-Mungu ataliadhibu jeshi la angani kadhalika na wafalme wa duniani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika siku ile BWANA ataadhibu nguvu zilizoko mbinguni juu na wafalme walioko duniani chini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika siku ile bwana ataadhibu nguvu zilizoko mbinguni juu, na wafalme walioko duniani chini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena itakuwa katika siku hiyo, BWANA ataliadhibu jeshi la mahali palipo juu katika mahali palipo juu, na wafalme wa dunia katika dunia;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku ile Mwenyezi-Mungu ataliadhibu jeshi la angani kadhalika na wafalme wa duniani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ile itakuwa hivi: Bwana atavijilia vikosi vya juu huko juu, nao wafalme wa nchi atawajilia huku chini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena itakuwa katika siku hiyo, BWANA ataliadhibu jeshi la mahali palipo juu katika mahali palipo juu, na wafalme wa dunia katika dunia;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku ile Yawe ataliazibu jeshi la anga vilevile na wafalme wa dunia.