Isaiah 24:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Dunia itaharibiwa kabisa na kuangamizwa; Mwenyezi-Mungu ametamka hayo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Dunia itaharibiwa kabisa na kutekwa nyara kabisa. Mwenyezi Mungu amesema neno hili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Dunia hii itafanywa tupu kabisa, na kuharibiwa kabisa; maana Bwana amenena neno hilo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Dunia itaharibiwa kabisa na kuangamizwa; Mwenyezi-Mungu ametamka hayo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Dunia itaharibiwa kabisa na kutekwa nyara kabisa. BWANA amesema neno hili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Dunia itaharibiwa kabisa na kutekwa nyara kabisa. bwana amesema neno hili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Dunia hii itafanywa tupu kabisa, na kuharibiwa kabisa; maana BWANA amenena neno hilo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Dunia itaharibiwa kabisa na kuangamizwa; Mwenyezi-Mungu ametamka hayo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli nchi itaondolewa watu kabisa, nazo mali zitapokonywa, kwani Bwana amelisema neno hilo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Dunia hii itafanywa tupu kabisa, na kuharibiwa kabisa; maana BWANA amenena neno hilo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Dunia itaharibiwa kabisa na kuangamizwa. Ni Yawe amesema hayo.