Isaiah 24:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Dunia inakauka na kunyauka; ulimwengu unafadhaika na kunyauka; mbingu zinafadhaika pamoja na dunia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Dunia inakauka na kunyauka, dunia inanyong’onyea na kunyauka, waliotukuzwa wa dunia wananyong’onyea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Dunia inaomboleza, inazimia; ulimwengu unadhoofika, unazimia; watu wakuu wa dunia wanadhoofika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Dunia inakauka na kunyauka; ulimwengu unafadhaika na kunyauka; mbingu zinafadhaika pamoja na dunia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Dunia inakauka na kunyauka, dunia inanyong'onyea na kunyauka, waliotukuzwa wa dunia wananyong'onyea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Dunia inakauka na kunyauka, dunia inanyong’onyea na kunyauka, waliotukuzwa wa dunia wananyong’onyea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Dunia inaomboleza, inazimia; ulimwengu unadhoofika, unazimia; watu wakuu wa dunia wanadhoofika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Dunia inakauka na kunyauka; ulimwengu unafadhaika na kunyauka; mbingu zinafadhaika pamoja na dunia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nchi imesikitika, maana imenyauka, ulimwengu wote umefifia, maana umenyauka, nao walio wakuu wa watu katika nchi wamefifia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Dunia inaomboleza, inazimia; ulimwengu unadhoofika, unazimia; watu wakuu wa dunia wanadhoofika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Dunia inakauka na kunyauka; ulimwengu unafazaika na kunyauka; mbingu zinafazaika pamoja na dunia.