Isaiah 24:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wameitia najisi dunia maana wamezivunja sheria za Mungu, wamezikiuka kanuni zake, wamelivunja agano lake la milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Dunia imetiwa unajisi na watu wake; wameacha kutii sheria, wamevunja amri na kuvunja agano la milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena dunia imetiwa unajisi kwa watu wanaoikaa; kwa maana wameziasi sheria, wameibadili amri, wamelivunja agano la milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wameitia najisi dunia maana wamezivunja sheria za Mungu, wamezikiuka kanuni zake, wamelivunja agano lake la milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Dunia imetiwa unajisi na watu wake, wameacha kutii sheria, wamevunja amri na kuvunja Agano la milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Dunia imetiwa unajisi na watu wake; wameacha kutii sheria, wamevunja amri na kuvunja agano la milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena dunia imetiwa unajisi kwa watu wanaoikaa; kwa maana wameziasi sheria, wameibadili amri, wamelivunja agano la milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wameitia najisi dunia maana wamezivunja sheria za Mungu, wamezikiuka kanuni zake, wamelivunja agano lake la milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Chini yao wakaao huku nchi imechafuliwa, kwani wameyapita Maonyo, hawakuyafuata maongozi, wakalivunja Agano la kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena dunia imetiwa unajisi kwa watu wanaoikaa; kwa maana wameziasi sheria, wameibadili amri, wamelivunja agano la milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wameichafua dunia maana wamezivunja sheria za Mungu, wamegeuka mbali na masharti yake, wamelivunja agano lake la milele.