Isaiah 24:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hakuna tena kunywa divai na kuimba; mvinyo umekuwa mchungu kwa wanywaji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawanywi tena mvinyo pamoja na wimbo, kileo ni kichungu kwa wanywaji wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hawatakunywa divai pamoja na nyimbo; kileo kitakuwa uchungu kwao wakinywao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hakuna tena kunywa divai na kuimba; mvinyo umekuwa mchungu kwa wanywaji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawanywi tena mvinyo pamoja na wimbo, kileo ni kichungu kwa wanywaji wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawanywi tena mvinyo pamoja na wimbo, kileo ni kichungu kwa wanywaji wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hawatakunywa divai pamoja na nyimbo; kileo kitakuwa uchungu kwao wakinywao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hakuna tena kunywa divai na kuimba; mvinyo umekuwa mchungu kwa wanywaji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawanywi tena mvinyo na kuiimbia, kileo cha sasa ni chenye uchungu kwao wanaokinywa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hawatakunywa divai pamoja na nyimbo; kileo kitakuwa uchungu kwao wakinywao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakuna tena kunywa divai na kuimba; kinywaji cha kulewesha kimekuwa uchungu kwa wakunywaji.